Siasa
Magari 11 ya anasa ya Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea kupigwa mnada
Magari ya anasa (luxury) ya Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue yataigwa mnada Septemba 29 mwaka huu na ...TANESCO haihitaji ruzuku ya serikali na litaanza kutoa gawio- Waziri Dk Kalemani
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa sasa halihitaji ruzuku kutoka serikalini na kuanzia mwaka ...Serikali yaeleza sababu ya kutoshuka kwa bei ya taulo za kike licha ya kodi kufutwa
Na. Peter Haule, WFM, DodomaSerikali imesema kuwa nguvu ya soko pamoja na gharama nyingine zimechangia kutoshuka kwa bei ya taulo za kike ...Makundi 47 ambayo RC Ally Hapi ameyataka yawe na vitambulisho vya wajasiriamali
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amesitisha likizo za Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zilizomo mkoani humo kufuatia mkoa ...Serikali yakanusha Prof. Kabudi kuhusika na mkataba wa Kampuni ya Indo Power Solution
Na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amekanusha shutuma zilizotolewa kuhusu ushiriki wa Waziri wa Mambo ...