Siasa
Makundi 47 ambayo RC Ally Hapi ameyataka yawe na vitambulisho vya wajasiriamali
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi amesitisha likizo za Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zilizomo mkoani humo kufuatia mkoa ...Serikali yakanusha Prof. Kabudi kuhusika na mkataba wa Kampuni ya Indo Power Solution
Na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amekanusha shutuma zilizotolewa kuhusu ushiriki wa Waziri wa Mambo ...Spika Ndugai amsimamisha uanachama Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemsimamisha uanachama wa Bunge la Afrika, Stephen Masele ambaye pia ni ...Halmashauri zazuiwa kuwaandikia wagonjwa kununua dawa nje ya kituo
Na Mathew Kwembe, Babati Serikali imezitaka Halmashauri za Wilaya kuhakikisha kuwa zinatekeleza agizo lake la kuhakikisha wanaimarisha upatikanaji wa dawa katika vituo ...Sababu ya serikali kuzuia ripoti ya uchumi ya Shirika la Fedha Duniani (IMF)
Karibuni Tanzania iligonga vichwa vya habari katika vyombo vya kitaifa na kimataifa, baada ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kueleza kuwa, Tanzania ...