Siasa
Waziri Mkenda asema wamedhibiti wizi wa mitihani ndani ya NECTA
Serikali imesema imefanikiwa kuondoa changamoto ya wizi wa mitihani iliyokuwa inaanzia ndani ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA). Hayo yamesemwa na ...Rais Samia: Sina kundi katika kufanya uteuzi wa viongozi
Rais Samia Suluhu Hassana amesema hana kundi lolote katika kufanya uteuzi wa viongozi mbalimbali isipokuwa anachotaka ni kuona walioteuliwa wanafanya kazi na ...Serikali kufanya maboresho ya sheria ya kampuni ili kuvutia wawekezaji
Serikali imepanga kufanya maboresho kwenye sheria ya Kampuni Sura ya 212 na Sura 213 ya Majina ya Kampuni ili kukuza na kuvutia ...Uwanja mpya wa mpira Arusha kupewa jina la Rais Samia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha unatarajiwa kupewa jina ...Rais Samia: Nitahakikisha Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kuwawezesha Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ili ifikapo mwaka 2030 zaidi ya asilimia 88 wawe ...