Siasa
Jumuiya ya Madola yahimiza haki za binadamu na utawala wa sheria nchini Tanzania
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi,uwajibikaji na uawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo ...Serikali yapokea gawio la TZS 1 bilioni kutoka TPB
Na Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Serikali imepokea gawio la Shilingi Bilioni 1 kutoka Benki ya Posta Tanzania (TP B) ...Wafanyakazi watano wa Azam wafariki wakielekea kwenye uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Kampuni za Said Salim ...Magari 11 ya anasa ya Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea kupigwa mnada
Magari ya anasa (luxury) ya Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue yataigwa mnada Septemba 29 mwaka huu na ...TANESCO haihitaji ruzuku ya serikali na litaanza kutoa gawio- Waziri Dk Kalemani
Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kwamba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa sasa halihitaji ruzuku kutoka serikalini na kuanzia mwaka ...Serikali yaeleza sababu ya kutoshuka kwa bei ya taulo za kike licha ya kodi kufutwa
Na. Peter Haule, WFM, DodomaSerikali imesema kuwa nguvu ya soko pamoja na gharama nyingine zimechangia kutoshuka kwa bei ya taulo za kike ...