Siasa
Serikali yaziagiza halmashauri zilizokopa benki za kibiashara kurudisha fedha hizo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo,amezitaka halmashauri zote nchini kutoa taarifa Ofisini kwake ...CHADEMA yatakiwa kujieleza kwa Msajili sababu ya viongozi waliomaliza muda kuendelea kukaa madarakani
Msajili wa Vyama vya Siasa amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kukitaka kijieleze haraka kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria ...Mahakama yamuongezea adhabu Diwani wa ACT Wazalendo aliyekata rufaa
Diwani wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo) Manispaa ya Kigoma Ujiji, Clayton Chipando maarufu Baba Levo ameongezewa adhabu ya kifungo jela kutoka miezi mitano ...Hatua aliyochukua Rais Dkt Magufuli dhidi ya Nape, baada ya kusambaa kwa sauti akimjadili
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi, Nape Nnauye amekutana na kumuomba radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti ...Patrick Mgoya afungua kesi Mahakama Kuu kupinga ukomo wa Urais
Patrick Dezydelius Mgoya, mkazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam amefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania akihoji uhalali ...Viongozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kuingia Morogoro Kusini bila kibali cha Polisi
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeripoti kuwa Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata viongozi wake kwa madai kuwa wameingia pasi na ...