Siasa
Jaji Mutungi: Zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa halina malengo ya kufuta usajili wa ...
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi amesema zoezi la uhakiki wa vyama vya siasa linalotarajia kuanza tarehe 17 ...Benki ya Dunia, na Tanzania zatofautiana viwango vya ukuaji wa uchumi
Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa ukuaji wa asilimia 5.6 mwaka huu, ambapo ukuaji unatarajiwa kuongezeka hadi ...Tanzania, Burundi, na DRC zasaini makubaliano ya ujenzi wa SGR
Tanzania, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana Jumanne Disemba 3, 2019 zilisaini makubaliano ya kujenga reli ya kisasa (SGR) itakayounganisha ...Sababu kuu tatu za Sumaye kujitoa CHADEMA
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo Disemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya ...CHADEMA yashtushwa Sumaye kutumia nembo ya taifa kuitisha mkutano wa wanahabari
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia nembo ya ...Wananchi wa Kijiji wamkataa Mwenyekiti wa CCM aliyepita bila kupingwa, waeleza hujuma zilizofanyika
Ikiwa ni juma moja limepita tangu kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini, ambapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kilipata ushindi wa kishindo ...