Siasa
Rais Samia awasihi Watanzania kufuata misingi bora ya Hayati Rais Mwinyi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kuyaishi na kuyaenzi maono ya Rais Mstaafu, Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa kusimamia ustawi wa wananchi, ...Bunge la Ghana lakatiwa umeme kwa kutolipa deni
Kampuni ya umeme ya Ghana (ECG) imekata kwa muda usambazaji wa umeme kwenye jengo la bunge siku ya Alhamisi baada ya bunge ...Historia ya maisha ya Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Mei 8 mwaka 1925 katika kijiji cha Kivure, wilayani Kisarawe, mkoa wa Pwani na baadaye familia yake ilihamia ...APHFTA wagoma kutoa huduma kwa kitita kipya cha NHIF
Baada ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutangaza kuanza matumizi ya kitita kipya cha mafao kitakachoanza Machi Mosi, 2024, ...Mkuu wa Kitengo cha Fedha Serengeti akamatwa madai ya wizi wa milioni 213
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, ACP Salum Morcase amkamate Mkuu wa Kitengo cha Fedha na Uhasibu ...Waziri Mkuu wa Ethiopia kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu Tanzania
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya ...