Siasa
Dkt. Mpango: Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema hivi karibuni Serikali inatarajia kupokea ndege mpya mbili aina ya Boeing 737 9 max na ...Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ...Serikali yaiagiza TAA kuvunja mkataba wa ujenzi wa uwanja wa ndege Songea
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha ...Rais Samia: Wanasiasa tufuate nyayo za Lowassa, tusitukanane
Rais Samia Suluhu Hassan amewaasa wanasiasa kufuata nyayo za Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa za kuheshimiana na kujenga siasa zenye hoja pasipo ...Rais Samia apongezwa na mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amepongezwa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika kwa jitihada zake za ...Tume ya uchaguzi yatangaza uchaguzi wa madiwani kwenye Kata 23
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20, mwaka huu. Taarifa ...