Siasa
Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi kushiriki maandamano Mwanza
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa amethibitisha kushiriki katika maandamano ya ...CHADEMA waruhusiwa kuandamana Mwanza, waonywa kutoikejeli Serikali
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limesema maandamano ya amani yaliyoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kupangwa kufanyika Februari 15 ...Bunge laazimia Serikali kununua ndege nyingine kuwahudumia viongozi
Bunge la Tanzania limeazia kuwa serikali ina haja ya kuona umuhimu wa kununua ndege mpya kwa ajili ya kuhudumia viongozi wakuu wa ...Wasifu wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa
Safari ya Edward Ngoyai Lowassa duniani umefikia mwisho Februari 10, 2024, ambapo ameacha simulizi mbalimbali kwenye siasa na maeneo mengine aliyohudumu enzi ...Tanzania na Poland zajadili kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili kuchochea zaidi utalii pamoja na biashara baina ya Tanzania na Poland, ameelekeza kuchukuliwa kwa hatua zitakazowezesha ...Waziri: Ushawishi wa Tanzania duniani utategemea na ubora wa Sera ya Mambo ya Nje
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Ikulu Zanzibar, Ali Suleiman amesema ili Tanzania iweze kufikia malengo ya maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na sera ...