Siasa
Rais Ruto awaongeza mishahara maafisa polisi na magereza
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza kuwa nyongeza ya mishahara kwa maafisa wa polisi, magereza na maafisa wengine wa mashirika ya usalama ...Kenya yafichua mashirika yanayofadhiliwa na Ford Foundation kuchochea vurugu
Serikali ya Kenya imeiandikia rasmi barua Shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation ikiituhumu shirika hilo kufadhili maandamano ya Kenya pamoja na kuyaweka ...Rais Ruto alituhumu shirika la Kimarekani juu ya vurugu za maandamano
Rais wa Kenya, William Ruto amelituhumu shirika binafsi la Kimarekani, Ford Foundation, kwa kufadhili ghasia wakati wa maandamano ya kupinga serikali nchini ...Rais Samia aihakikishia Katavi umeme wa Gridi ya Taifa ifikapo Septemba
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Septemba mwaka huu, Mkoa wa Katavi utaanza kutumia umeme wa Gridi ya Taifa na kuachana na umeme ...NCCR Mageuzi yadai Mbatia ameuza mali za chama
Chama cha NCCR Mageuzi kimemtuhumu aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuuza mali za chama kiholela ikiwemo nyumba, kwa maslahi binafsi. ...