Siasa
Mdee na wenzake wakata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu
Wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Halima Mdee na wenzake wamefika Mahakama ...Afrika Kusini yapinga vitu vya Hayati Mandela kupigwa mnada Marekani
Serikali ya Afrika Kusini inaendelea na jitihada za kuzuia mnada wa vitu vya shujaa wa kupinga ubaguzi wa rangi, Hayati Nelson Mandela, ...Ahukumiwa miaka 50 jela kwa kumkosoa mfalme kupitia Facebook
Mwanaharakati wa zamani wa demokrasia kutoka nchini Thailand, Mongkol Thirakot (30) amehukumiwa kifungo cha miaka 50 jela kwa kukosoa utawala wa Mfalme ...CHADEMA yakubali mdahalo na Makonda, yatoa masharti
Baada ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda kutoa rai kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanyike ...RC Chalamila: Januari 24 wanajeshi watafanya usafi Dar es Salaam
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi kubwa la usafi katika Wilaya zote tano za mkoa ...CHADEMA yatangaza maandamano yasema “we are very serious”
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuanza kufanya maandamano ya amani ya kushinikiza Serikali kuzingatia maoni na mapendekezo ya wadau mbalimbali ...