Siasa
Sudan Kusini yakanusha kumwagiza Odinga kwa Museveni kabla ya kukutana na Dkt. Machar
Serikali ya Sudan Kusini imekanusha madai kwamba Rais Salva Kiir alimwelekeza Raila Odinga, kupata idhini ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni kabla ...Rais Trump akasirishwa na Putin kukosoa uongozi wa Zelenskyy
Rais Donald Trump amesema ana hasira sana na amechukizwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin kukosoa uhalali wa uongozi wa Rais Volodymyr ...Canada: Uhusiano wa zamani na Marekani umekwisha
Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney amesema nchi hiyo italazimika kupunguza utegemezi wake kwa Marekani kwani uhusiano wao unazidi kuzorota. Akizungumza baada ...Rais Samia: Tutafanyia kazi Ripoti ya CAG, TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali iko tayari kuendelea kufanyia kazi maoni na mapendekezo yaliyotolewa ndani ya taarifa ya Taasisi ya Kuzuia ...CAG: Deni la Taifa lafikia TZS trilioni 97.35
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere amesema kufikia Juni 30, 2024, deni la Serikali lilifikia shilingi ...Jenerali Tchiani aapishwa kuwa Rais wa Mpito wa Niger
Kiongozi wa Jeshi la Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani ameapishwa kuwa Rais wa Mpito wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano Uamuzi ...