Siasa
Waziri Makamba ashiriki mkutano wa 45 wa Baraza la Mawaziri wa EAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kawaida wa ...Serikali: Rais Mwinyi ataongoza kwa kufuata katiba
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rais Dkt. Hussein Mwinyi ataendelea kuheshimu utaratibu uliowekwa wa Rais kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano ...CCM Zanzibar yapendekeza Dkt. Mwinyi kuongoza kwa miaka saba
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa ...Ziara ya Rais wa Guinea-Bissau kuzalisha fursa za uwekezaji nchini
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau na Mwenyekiti wa Taasisi ya Muungano wa Viongozi wa Afrika ...Nini sababu za baadhi ya viongozi wa Afrika kushikilia madaraka kwa muda mrefu?
Kauli kwamba “viongozi wa Afrika wanapenda madaraka” ni mtazamo ambao mara nyingi umetokana na historia na mifano mbalimbali ya viongozi wa Afrika ...Rais Samia: Vyombo vya Habari si mshindani wa Serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amesema vyombo vya habari sio mshindani wa Serikali, bali ni mdau na mshiriki muhimu wa shughuli za Serikali, ...