Siasa
Rais Samia: Ni wakati wa Afrika kusimulia hadithi zetu wenyewe
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuandika upya simulizi kuhusu bara la Afrika kwa kusimulia hadithi zao wenyewe kutoka kwa ...Rais wa Ujerumani aiomba radhi Tanzania kwa ukatili uliofanywa wakati wa ukoloni
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier ameomba radhi juu ya mambo mabaya yaliyofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanganyika (sasa ...Makonda aagiza mawaziri kuandika ripoti za utendaji kazi wao
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda amewaagiza mawaziri wote nchini kuandaa taarifa katika kila robo ya mwaka wa bajeti ...TCAA yafafanua kuhusu kibali cha Helikopta ya CHADEMA
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema katika siku za hivi karibuni, hakuna chama chochote cha siasa ambacho kimeomba kibali cha ...Rais Samia na Rais wa Ujerumani wajadili yaliyotokea wakati wa ukoloni
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania iko tayari kufungua majadiliano na Ujerumani ili kujadili na kukabiliana na athari na mambo mbalimbali yaliyotokana ...Rais wa Ujerumani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier anatarajiwa kufanya ziara ya siku tatu nchini kuanzia Oktoba 30, mwaka huu kwa mwaliko wa Rais Samia ...