Siasa
Dkt. Tulia ataja jambo kubwa atakaloanza nalo IPU
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema moja ya mambo atakayoanza nayo katika nafasi yake ya Rais wa Umoja wa ...Makonda aanza kwa kutuma ujumbe kwa mawaziri na wakuu wa mikoa
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa angalizo kwa viongozi wakiwemo mawaziri wote, wakuu wa ...Korea Kaskazini kufunga ubalozi wake nchini Uganda
Korea Kaskazini inatarajia kufunga ubalozi wake nchini Uganda kufuatia mkutano kati ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni na balozi wa Korea Kaskazini, ...Tanzania yatenga hekta 20 Bandari Kavu ya Kwala kwa ajili ya Zambia
Tanzania imetenga eneo la hekta 20 katika Bandari Kavu ya Kwala maalum kwa ajili ya mizigo inayopita nchini Tanzania kwenda nchini Zambia ...Rais Samia ahimiza mahakama kutumia teknolojia kutatua migogoro
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ukuaji wa soko, teknolojia na ubunifu ni moja kati ya mambo ambayo yanaweza kusababisha migogoro na miingiliano, ...Rais Samia: Uwekezaji bandarini umezingatia maslahi ya taifa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uwekezaji utakaofanyika katika bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World kutoka Dubai umezingatia maslahi ...