Siasa
Burundi yafunga mipaka yake na Rwanda
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Burundi, Martin Niteretse, ametangaza kwamba serikali yake imefunga mipaka yake na Rwanda kuanzia Alhamisi, Januari 11, ...Kanisa lamshtaki DC Nyamagana, Mahakama yampa siku tano
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imempa siku tano Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi kuwasilisha mahakamani kiapo kinzani kuhusu shauri la ...Kenya: Bodaboda waishtaki Serikali kwa kutotekeleza ahadi iliyowaahidi kwenye kampeni
Katika hatua isiyokuwa ya kawaida, waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, ...Serikali kuingiza tani 50,000 za sukari kukabiliana na upungufu uliopo
Serikali imeidhinisha kuingizwa nchini kwa tani 50,000 za sukari kama sehemu ya juhudi za kukabiliana na uhaba wa bidhaa hiyo ambayo imesababisha ...TRA yavunja rekodi, yakusanya trilioni 3.05 Desemba
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha nusu ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2023/2024 (Julai hadi Desemba) imefanikiwa kukusanya ...Anne Rwigara, mkosoaji wa Serikali ya Rwanda afariki, kifo chaibua utata
Anne Rwigara (41), aliyekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rwanda na mtoto wa mfanyabiashara maarufu wa zamani nchini Rwanda, Assinapol Rwigara amefariki dunia ...