Siasa
Ruto: Kupanda kwa gharama za maisha sio tatizo la Serikali
Rais wa Kenya, William Ruto amesema gharama za juu za maisha nchini humo ni tatizo la kimataifa ambalo haliwezi kudhibitiwa moja kwa ...Mahakama yabatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la CHADEMA kesi ya kina Mdee
Mahakama Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha uamuzi wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) la kuwavua ...Rais Samia asaini Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote kuwa sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amesaini rasmi Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote kuifanya kuwa sheria kamili na hivyo kufungua ...Jalada la kesi ya Mbunge Gekul lamfikia DPP
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, George Katabazi amesema jalada la kesi ya tukio la ukatili inayomkabili mbunge wa Babati, Pauline Gekul ...