Siasa
Rais amwondoa Maharage TTCL, avunja bodi ya REA
Rais Samia Suluhu amemteua Maharage Chande kuwa Postamasta Mkuu, Shirika la Posta Tanzania. Kabla ya uteuzi huo, Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu ...Mahakama: Rais hakuvunja Katiba kwa kumwongezea muda Jaji Mkuu
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu imesema uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kumwongezea muda Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji ...Majaliwa akerwa upotevu wa fedha, atoa mfano wa milioni 500 zilizotoweka Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema atapeleka timu maalum ya uchunguzi wilayani Kigoma ili ifanye uchunguzi wa fedha zinazopotea kinyemela kupitia mtandao wa ...Waziri Ndumbaro ajiuzulu TFF
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt Damas Ndumbaro amejiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Rufani ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la ...Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi Halmashauri ya Busega
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega mkoani Simiyu, Veronica Sayore ili kupisha uchunguzi wa malalamiko dhidi ...