Siasa
Sudan yaishitaki UAE Mahakama ya Haki kwa kufadhili wanamgambo wa RSF
Sudan imeishitaki Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa madai kuwa inaunga mkono wanamgambo wa ...Prof. Kabudi aufuta uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya ...Bwawa la Kidunda kuondoa kero ya maji Dar, Pwani, Morogoro
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kukamilika kwa Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda kutaongeza uhakika wa upatikanaji wa huduma ya ...Kisa cha Rais Sankara na rafiki yake Compaoré
Blaise Compaoré na Thomas Sankara walikuwa marafiki wa karibu. Waliongoza mapinduzi ya mwaka 1983, yakamfanya Sankara kuwa Rais wa Burkina Faso, huku ...Rais wa mpito wa Gabon atangaza nia ya kugombea urais
Kiongozi wa jeshi la Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangaza nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa mwezi ujao, akisema uamuzi ...Trump asitisha misaada ya kijeshi kwa Ukraine
Rais wa Marekani, Donald Trump amesitisha misaada yote ya kijeshi kwa Ukraine kufuatia kutokuelewana kwake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky wiki ...