Siasa
Wasira: Viongozi wa dini achaneni na siasa, hubirini amani
Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili ...Rais Samia ateuliwa kuwa mjumbe wa masuala mabadiliko ya tabianchi duniani
Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Ushauri ya Kituo cha Dunia cha Uhimilivu wa Mabadiliko ya Tabianchi (Advisory ...Rais wa Zimbambwe awateua mwanae na mpwa wake kuwa Naibu Mawaziri
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amelaumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua kijana wake wa kiume kuwa Naibu Waziri wa Fedha katika baraza ...Rais Samia: Tumeruhusu mikutano vyama vikue, si kutukana na kuvunja sheria
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia demokrasia ikiwa ni pamoja na misingi ya nchi iliyowekwa na kutumia ...Lissu akamatwa kwa kufanya mikusanyiko isivyo halali
Jeshi la Polisi limethibitisha kumshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa chama ...Mambo ya kufahamu kuhusu mkutano wa G20 unaofanyika nchini India
Kikundi cha G20, au Kundi la Mataifa 20, kinajumuisha nchi 20 zenye uchumi mkubwa duniani na kinatambulika kama jukwaa muhimu kwa majadiliano ...