Siasa
Kwanini India inakusudia kubadili jina lake?
Mjadala mkubwa umeibuka nchini India baada ya Serikali ya Waziri Mkuu, Narendra Modi kuitaja nchi hiyo kama Bharat kwenye mialiko rasmi ya ...Barabara za Kampala kufungwa kupisha sherehe za ‘birthday’ ya Rais Museveni
Barabara kadhaa zinatarajiwa kufungwa katika Mji mkuu wa Uganda, Kampala, siku ya Ijumaa Septemba 08, 2023 kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha ...Rais Samia: Kufikia 2025 robo tatu ya mbegu zitazalishwa nchini
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeimarisha vituo vya utafiti na mashamba ya uzalishaji mbegu ili kufikia mwaka 2025 robo tatu ya ...Majaliwa amuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia upatikanaji wa mafuta
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko kushughulikia suala la upatikanaji wa nishati ya mafuta nchini ili Watanzania wafikiwe ...Mkuu wa Wilaya ashitakiwa kwa kutusi na kuwaweka mahabusu watumishi
Mkuu wa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Dkt. Julius Ningu ameshitakiwa katika Baraza la Maadili kwa tuhuma za kutoa lugha za matusi, ...Cleopa Msuya: Tusijisahau tukaelekea kwenye matatizo ya kisiasa
Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya amesema toka Tanzania ipate uhuru wake mwaka 1961 imeendelea kupiga hatua kubwa katika kuzingatia demokrasia hasa katika ...