Siasa
Lissu kushtakiwa kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo
Kampuni ya Uwekezaji kwenye utalii na ranchi za wanyama, Mwiba Holdings Ltd imetishia kuwachukulia hatua kali za kisheria wanasiasa waliosambaza taarifa za ...Rais Samia: Kama mtu amevunja sheria ashughulikiwe haraka
Rais Samia Suluhu Hassana ametoa msisitizo kwa Jeshi la Polisi kuhakikisha kuwa wanachukua hatua za kisheria haraka iwezekanavyo kwa mtu au kikundi ...ACT Wazalendo yaunga mkono uwekezaji wa DP World, yatoa mapendekezo
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kinaunga mkono uwekezaji kwenye bandari za Tanzania ili kuziwezesha kufanya kazi kwa ufanisi na kuwa na tija ...Soma hapa msimamo ACT Wazalendo kuhusu makubaliano kati ya Tanzania na Dubai
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/09/Msimamo-wa-ACT-Wazalendo-SAKATA-LA-BANDARI-Na-Mapendekezo-1.pdf” title=”Msimamo wa ACT Wazalendo SAKATA LA BANDARI Na Mapendekezo (1)”]TCD yataja maeneo manne ya kurekebishwa kwenye Katiba kabla ya uchaguzi
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimeitaka Serikali kufanya mabadiliko madogo ya Katiba iliyopo ili kuruhusu uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi pamoja ...Waziri Mkuu amshukuru Rais kwa kumteua Naibu Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiongezea nguvu Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kumteua Dkt. Dotto Biteko kuwa ...