Siasa
Haya ndiyo atakayoyakosa Dkt. Slaa baada ya kuvuliwa hadhi ya Ubalozi
Baada ya Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa hadhi ya Ubalozi Septemba 01, mwaka huu na Rais Samia Suluhu Hassan, wengi wamejiuliza juu ya ...Rais Samia aitaka Posta iendane na wakati na mahitaji ya soko
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na maendelo ya mwanadamu yanavyozidi kushika kasi, mfumo wa posta nao hauwezi kubaki kama ulivyokuwa katika ...TFF yafafanua taarifa ya kufungiwa kwa Waziri Ndumbaro
Kutokana na mijadala inayoendelea mitandaoni juu ya kufungiwa kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro, Shirikisho la Mpira wa ...Viongozi wa upinzani walikosoa jeshi la Gabon
Muungano wa upinzani nchini Gabon umetoa malalamiko dhidi ya jeshi lililompindua Rais Ali Bongo ya kutoonyesha nia ya wazi ya kurudisha madaraka ...Rais Samia awataka viongozi kutotumia vyeo kunyanyasa watu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko aliyoyafanya ya viongozi mbalimbali Serikalini si adhabu kwa viongozi hao, bali yanalenga kuimarisha maeneo mbalimbali kwa ...Rais Samia: Jamii inapaswa kuwarithisha watoto mila na desturi zetu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema jamii inapaswa kuhakikisha watoto wanafundishwa na kukua katika maadili mema ili kuwa na taifa lenye maadili na ...