Siasa
Majibu ya Katiba kuhusu uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan Agosti 30 mwaka huu amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri, moja ya mabadiliko makubwa aliyoyafanya ni pamoja na ...Kwanini familia ya Rais aliyepinduliwa nchini Gabon inapigwa vita?
Familia ya Bongo imekuwa maarufu katika siasa za Gabon kwa zaidi ya miongo mitano. Omar Bongo alikuwa Rais wa muda mrefu wa ...Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho kwa baadhi ya viongozi
Rais Samia Suluhu Hassan amemhamisha David Silinde kuwa Naibu Waziri wa Kilimo akichukua nafasi ya Antony Mavunde ambaye ameteuliwa kuwa Naibu Wazi ...Wananchi Gabon waunga mkono mapinduzi, Rais aomba msaada
Baada ya wanajeshi nchini Gabon kutwaa mamlaka ya nchi hiyo wakibatilisha matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais Ali Bongo, Rais Bongo ameonekana ...Wajue Marais wa Afrika waliopinduliwa na jeshi wakiwa madarakani
Mapinduzi ya kijeshi hutokea pale ambapo jeshi au kikundi cha kijeshi kinapochukua udhibiti wa serikali kwa nguvu na kumpindua Rais au kiongozi ...Balozi Karume aibua mapya baada ya kuvuliwa uanachama CCM
Balozi Ali Abeid Karume ameweka wazi kuwa hatakata rufaa baada ya kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiamini kuwa hajafukuzwa ndani ...