Siasa
Maafisa wa jeshi watangaza mapinduzi nchini Gabon
Maafisa wa Jeshi wamejitokeza katika televisheni ya Taifa nchini Gabon na kutangaza kutwaa mamlaka ya Taifa hilo. Aidha, wametangaza kuwa wamebatilisha matokeo ...Matukio mbalimbali ya Rais Samia katika uzinduzi wa miradi Kizimkazi, Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan amefungua miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Agosti 29, 2023 ikiwa ni kuelekea ...Serikali yaweka wazi vigezo inavyozingatia kumpokea mwekezaji
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema kutokana na Tanzania kuwa na fursa mbalimbali za uwekezaji serikali inazingatia vigezo maalum ...Rais Samia kutengua DC na DED Mtwara kwa kutotimiza wajibu wao
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kutengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kushindwa ...Serikali yaja na mbinu za kuongeza akiba ya dola nchini
Kutokana na upungufu wa dola unaozikumba nchi mbalimbali hivi sasa, Serikali imesema imeanza kutekeleza sera ya fedha ya kununua dhahabu kupitia Benki ...