Siasa
Niger yamfukuza Balozi wa Ufaransa
Kikosi cha jeshi cha Niger kimeamuru Balozi wa Ufaransa kuondoka nchini humo ndani ya saa 48 baada ya kushindwa kuhudhuria mkutano uliokuwa ...BRICS yaongeza wanachama wapya sita zikiwemo Ethiopia na Misri
Baada ya nchi 20 kuwasilisha maombi ya kutaka uanachama, viongozi wa kundi la mataifa ya BRICS yaani Brazil, Urusi, India, China na ...Mbunge ashikiliwa kwa shambulizi dhidi ya waandishi wa habari Ngorongoro
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu kadhaa akiwemo Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai kwa tuhuma za kuhusika na shambulizi ...Balozi wa Marekani: Demokrasia ya Tanzania lazima ifanane na Tanzania
Balozi wa Marekani, Dkt. Michael Battle amesema si lazima demokrasia ya nchi moja ifanane na ya nchi nyingine kwani demokrasia inapaswa kuwa ...NEC yateua wagombea 58 kwenye uchaguzi wa Ubunge na Udiwani mwezi ujao
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali ...Sheria tatu kurekebishwa kuelekea uchaguzi mwaka 2024 na 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika kuhakikisha katiba mpya inapatikana lakini Rais Samia ...