Siasa
Rais Samia: Tumedhamiria kuyafanya mashirika yetu kujiendesha kibiashara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Indonesia zimekubaliana kuimarisha urafiki na ushirikiano uliopo katika nyanja za kisiasa, ...Rais Samia: Hakuna mwenye ubavu wa kuligawa au kuliuza Taifa hili
Kufuatia maneno yanayoendelea kuzungumzwa kuhusu mkataba wa ushirikiano kati ya Tanzania na Dubai, Rais Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu Watanzania na kusisitiza ...Rais Samia atoa maelekezo kufanikisha mageuzi mashirika ya umma
Rais Samia Suluhu amesema ni muhimu Ofisi ya Msajili wa Hazina kuhakikisha inasimamia ipasavyo sheria na kanuni zilizopo ikiwemo kusimamia ipasavvyo utekelezaji ...Wanajeshi 17 wauawa katika mapigano nchini Niger
Wizara ya Ulinzi nchini Niger imesema takribani wanajeshi 17 wamefariki na wengine 20 wamejeruhiwa katika shambulio la wanamgambo wa Kiislamu nchini humo. ...Nape: Dkt. Slaa na wenzake wamekamtwa kwa tuhuma za uhaini, si vinginevyo
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hakuna mtu yeyote nchini ambaye amekamatwa au atakamatwa kwa kutoa maoni ...