Siasa
ACT yataka Dkt. Slaa na wenzake wapelekwa mahakamani au waachiwe huru
Chama cha ACT Wazalendo kimelitaka Jeshi la Polisi kuwaachia huru bila masharti yoyote au kuwapeleka mahakamani Wakili Boniphace Mabukusu, Mpaluka Nyagali na ...Rais aliyepinduliwa Niger kushitakiwa kwa uhaini
Jeshi la Niger limesema litamfungulia mashitaka ya uhaini Rais Mohamed Bazoum (63), aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi. Hatua hiyo inakuja saa ...Polisi wathibitisha kuwashikilia Mwabukusi na Mdude, msako unaendelea
Baada ya taarifa iliyotolewa Agosti 11, 2023 na Jeshi la Polisi likiwaonya wanaofanya uchochezi kwa lengo la kuiangusha Serikali, Jeshi limetangaza kuwakamata ...Wafahamu Marais wa Afrika waliopinduliwa na Jeshi wakiwa madarakani
Mapinduzi ya kijeshi hutokea pale ambapo jeshi au kikundi cha kijeshi kinapochukua udhibiti wa serikali kwa nguvu na kumpindua Rais au kiongozi ...Rais Samia afanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa mabalozi
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/08/UTEUZI-MABALOZI-AGOSTI-2023-1.pdf” title=”UTEUZI MABALOZI AGOSTI, 2023 (1)”]Jeshi la Polisi: Maandamano yaliyopangwa ni uhaini
Jeshi la Polisi limewaonya vikali watu wanaofanya vitendo vya uchochezi katika mitandao ya kijamii kwa kupanga maandamano ya kuiangusha Serikali ya Awamu ...