Siasa
Wananchi Gabon waunga mkono mapinduzi, Rais aomba msaada
Baada ya wanajeshi nchini Gabon kutwaa mamlaka ya nchi hiyo wakibatilisha matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais Ali Bongo, Rais Bongo ameonekana ...Wajue Marais wa Afrika waliopinduliwa na jeshi wakiwa madarakani
Mapinduzi ya kijeshi hutokea pale ambapo jeshi au kikundi cha kijeshi kinapochukua udhibiti wa serikali kwa nguvu na kumpindua Rais au kiongozi ...Balozi Karume aibua mapya baada ya kuvuliwa uanachama CCM
Balozi Ali Abeid Karume ameweka wazi kuwa hatakata rufaa baada ya kuvuliwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiamini kuwa hajafukuzwa ndani ...Maafisa wa jeshi watangaza mapinduzi nchini Gabon
Maafisa wa Jeshi wamejitokeza katika televisheni ya Taifa nchini Gabon na kutangaza kutwaa mamlaka ya Taifa hilo. Aidha, wametangaza kuwa wamebatilisha matokeo ...Matukio mbalimbali ya Rais Samia katika uzinduzi wa miradi Kizimkazi, Zanzibar
Rais Samia Suluhu Hassan amefungua miradi mbalimbali ya maendeleo katika mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Agosti 29, 2023 ikiwa ni kuelekea ...