Siasa
New Zealand: Waziri wa Sheria ajiuzulu baada ya kuendesha gari akiwa amelewa
Waziri wa Sheria kutoka nchini New Zealand, Kiri Allan amejiuzulu mara moja baada ya kukabiliwa na mashtaka ya kuendesha gari akiwa amelewa ...Rais Samia: Tusiruhusu wenye nia ovu waligawe Taifa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kuwaenzi Mashujaa waliopoteza maisha yao wakiutetea, kuupigania na kulinda Uhuru wa Tanzania kwa kudumisha ...Raila Odinga asitisha maandamano ya Jumatano
Chama cha Azimio La Umoja One Kenya kimesimamisha maandamano yake dhidi ya serikali yaliyokuwa yamepangwa kufanyika nchi nzima siku ya Jumatano wiki ...Rais Samia kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Mnara wa Mashujaa
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mnara wa Mashujaa unaojengwa katika Mji wa Serikali ...Ruto awaonya maafisa wa polisi juu ya mauaji ya raia
Rais wa Kenya, William Ruto amewaonya maafisa wa polisi dhidi ya mauaji ya kiholela ya waandamanaji wanaoipinga serikali, huku upande mwingine akisisitiza ...