Siasa
Balozi wa Marekani: Demokrasia ya Tanzania lazima ifanane na Tanzania
Balozi wa Marekani, Dkt. Michael Battle amesema si lazima demokrasia ya nchi moja ifanane na ya nchi nyingine kwani demokrasia inapaswa kuwa ...NEC yateua wagombea 58 kwenye uchaguzi wa Ubunge na Udiwani mwezi ujao
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeteua wagombea 58 kutoka vyama 17 vya siasa kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali ...Sheria tatu kurekebishwa kuelekea uchaguzi mwaka 2024 na 2025
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesema jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika kuhakikisha katiba mpya inapatikana lakini Rais Samia ...Rais Samia: Tumedhamiria kuyafanya mashirika yetu kujiendesha kibiashara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Indonesia zimekubaliana kuimarisha urafiki na ushirikiano uliopo katika nyanja za kisiasa, ...Rais Samia: Hakuna mwenye ubavu wa kuligawa au kuliuza Taifa hili
Kufuatia maneno yanayoendelea kuzungumzwa kuhusu mkataba wa ushirikiano kati ya Tanzania na Dubai, Rais Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu Watanzania na kusisitiza ...Rais Samia atoa maelekezo kufanikisha mageuzi mashirika ya umma
Rais Samia Suluhu amesema ni muhimu Ofisi ya Msajili wa Hazina kuhakikisha inasimamia ipasavyo sheria na kanuni zilizopo ikiwemo kusimamia ipasavvyo utekelezaji ...