Siasa
Wanajeshi 17 wauawa katika mapigano nchini Niger
Wizara ya Ulinzi nchini Niger imesema takribani wanajeshi 17 wamefariki na wengine 20 wamejeruhiwa katika shambulio la wanamgambo wa Kiislamu nchini humo. ...Nape: Dkt. Slaa na wenzake wamekamtwa kwa tuhuma za uhaini, si vinginevyo
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hakuna mtu yeyote nchini ambaye amekamatwa au atakamatwa kwa kutoa maoni ...Rais Samia: Mabalozi fanyeni kazi kwa matokeo, msisubiri matukio
Rais Samia Suluhu Hassan amewaagiza mabalozi kufanya kazi kwa kujituma katika vituo vyao vya kazi walivyopangiwa pasipo kusubiri matukio maalum ili kulinufaisha ...ACT yataka Dkt. Slaa na wenzake wapelekwa mahakamani au waachiwe huru
Chama cha ACT Wazalendo kimelitaka Jeshi la Polisi kuwaachia huru bila masharti yoyote au kuwapeleka mahakamani Wakili Boniphace Mabukusu, Mpaluka Nyagali na ...Rais aliyepinduliwa Niger kushitakiwa kwa uhaini
Jeshi la Niger limesema litamfungulia mashitaka ya uhaini Rais Mohamed Bazoum (63), aliyeondolewa madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi. Hatua hiyo inakuja saa ...