Siasa
Polisi wathibitisha kuwashikilia Mwabukusi na Mdude, msako unaendelea
Baada ya taarifa iliyotolewa Agosti 11, 2023 na Jeshi la Polisi likiwaonya wanaofanya uchochezi kwa lengo la kuiangusha Serikali, Jeshi limetangaza kuwakamata ...Wafahamu Marais wa Afrika waliopinduliwa na Jeshi wakiwa madarakani
Mapinduzi ya kijeshi hutokea pale ambapo jeshi au kikundi cha kijeshi kinapochukua udhibiti wa serikali kwa nguvu na kumpindua Rais au kiongozi ...Rais Samia afanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa mabalozi
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/08/UTEUZI-MABALOZI-AGOSTI-2023-1.pdf” title=”UTEUZI MABALOZI AGOSTI, 2023 (1)”]Jeshi la Polisi: Maandamano yaliyopangwa ni uhaini
Jeshi la Polisi limewaonya vikali watu wanaofanya vitendo vya uchochezi katika mitandao ya kijamii kwa kupanga maandamano ya kuiangusha Serikali ya Awamu ...Rais Samia aagiza mifumo ya TEHAMA serikalini isomane
Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari inayosimamia sera ya TEHAMA kwa kushirikiana na wizara nyingine ...Mgombea Urais Ecuador auawa kwa kupigwa risasi
Mgombea urais katika uchaguzi ujao nchini Ecuador, Fernando Villavicencio ambaye alifanya kampeni kwa kuweka wazi uhalifu na vitendo vya rushwa vinavyofanywa na ...