Siasa
Kenya: Jaji Mkuu Mstaafu apigwa mabomu akitaka waandamanaji waachiwe
Polisi nchini Kenya wamelazimika kupiga mabomu ya machozi kutawanya kundi la wanaharakati wa haki za binadamu akiwemo Jaji Mkuu Mstaafu, Willy Mutunga ...Balozi Karume afutwa uanachama CCM
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume baada ya kutangaza kumuweka chini ...Tanzania na Malawi zasaini makubaliano ya ushirikiano katika mawasiliano
Tanzania na Malawi zimesaini hati za makubaliano (MoU) kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano inayogusa masuala ya mawasiliano na digitali yakihusisha mambo ...Rais Samia: Watanzania changamkieni fursa za ukuaji wa Kiswahili duniani
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa serikali imeweka mikakati ya kuhamasisha Watanzania wenye ueledi katika lugha ya Kiswahili kuchangamkia fursa zitokanazo ...Rais Samia kuwa Mgeni wa Heshima maadhimisho ya Uhuru wa Malawi
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Malawi kuanzia Julai 5 hadi Julai 7, 2023 kufuatia ...