Siasa
Ruto atoa sharti kwa Odinga kabla ya mazungumzo
Rais wa Kenya, William Ruto amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na kiongozi wa Azimio, Raila Odinga, na yuko tayari kutoa ustahimilivu katika ...Wanajeshi wa Niger wampindua Rais Bazoum
Rais wa Niger, Mohamed Bazoum amepinduliwa na wanajeshi saa chache baada ya kuwekwa kizuizini na walinzi wake katika Ikulu ya nchi hiyo. ...Kinana: Rais Samia hawezi kuuza bandari
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdurahman Kinana, amezungumzia mjadala wa uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam huku ...Rais Samia asema Afrika haitoendelea isipowekeza zaidi kwenye rasilimali watu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni muhimu kwa viongozi wa Afrika kuhakikisha wanaangalia, wanatathmini na kusimamia mageuzi yote muhimu ili kuliwezesha bara ...New Zealand: Waziri wa Sheria ajiuzulu baada ya kuendesha gari akiwa amelewa
Waziri wa Sheria kutoka nchini New Zealand, Kiri Allan amejiuzulu mara moja baada ya kukabiliwa na mashtaka ya kuendesha gari akiwa amelewa ...Rais Samia: Tusiruhusu wenye nia ovu waligawe Taifa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kuwaenzi Mashujaa waliopoteza maisha yao wakiutetea, kuupigania na kulinda Uhuru wa Tanzania kwa kudumisha ...