Siasa
Waziri Mkuu: Tumemtoa TICTS tunamuweka DP World, hakuna geni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekanusha madai ya watu wanaodai kampuni DP World imepewa bandari bila kikomo na kueleza kuwa kampuni hiyo itapewa ...Waziri Mkuu: Hatuwezi kutoa umiliki wa bandari kwa kampuni yoyote
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ndiyo iliyopewa mamlaka na haki ya umiliki wa maeneo yote ya bandari ...Kada wa CCM, Balozi Karume awekwa chini ya uangalizi
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amewekwa chini ya uangalizi wa miezi mitatu na chama hicho kutokana na ...CHADEMA Igunga wampongeza Rais Samia kwa kutatua changamoto zao
Wananchi wa Kata ya Mwisi Wilayani Igunga mkoani Tabora, wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ...Mwanasheria Mkuu: Kuna upotoshaji mkubwa suala la bandari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amesema kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mijadala inayoendelea kuhusu suala la uwekezaji ...