Siasa
Rais Samia: Tutaanza kutekeleza miradi kwa fedha za ndani
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaanza mkakati mpya wa kutekeleza miradi ya kimkakati kwa kutumia fedha za ...Rais Samia: Waliofuata mkumbo kwenye vurugu Oktoba 29 waachiwe
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana walioonekana kushiriki vurugu siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 kwa kufuata ...Rais Samia: Uwaziri Mkuu ni nafasi ya kulitumikia Taifa na wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Uwaziri Mkuu haihitaji urafiki, undugu na ujamaa, badala yake ni nafasi ya kulitumikia Taifa. Ameyasema ...BAKWATA yaitaka Serikali kutowafumbia macho waliochochea vurugu Oktoba 29
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu zimeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina ili kubaini watu ...








