Siasa
Spika Dkt. Tulia njia nyeupe Urais IPU, Afrika yamuunga mkono
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson kuwa mgombea pekee kutoka bara la Afrika ...Rais Samia aomboleza kifo cha Jecha
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ...Rais Samia: Ukosefu wa huduma za msingi unaibua migogoro
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali kushindwa kutoa huduma za msingi kwa wananchi kumechochea kuibuka kwa migogoro katika baadhi ya nchi za ...Rais Samia awaasa wananchi kulinda amani ili kuvutia uwekezaji
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuitunza amani na utulivu uliopo na endapo kunatokea tofauti yoyote ni vyema kujadili ili kupata suluhu ...Usome hapa muhtasari wa ripoti ya Tume ya Haki Jinai iliyowasilishwa kwa Rais Samia
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/07/MUHTASARI-KWA-PRINTER.pdf” title=”MUHTASARI KWA PRINTER”]Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na ...