Siasa
Waziri Mkuu: Hatutadharau maoni ya wananchi kuhusu bandari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa ...RC Chalamila: Wanaopanga kuandamana waache mara moja
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka baadhi ya wananchi wanaopanga kuandamana wakidai kupinga ubia wa uendelezaji na uboreshaji ...Balozi Karume: Niko tayari kupokea uamuzi wowote utakaotolewa dhidi yangu
Mtoto wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amehojiwa na Kamati ...Rais Samia: Mashirika yanayoitia Serikali hasara tutayafuta
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inafanya tathmini ya utendaji wa mashirika yote ya umma na yale ambayo Serikali ina hisa kubwa, ...Ndege ya Maafisa Usalama wa Rais Ramaphosa yanyimwa kibali kuelekea Urusi
Takribani maafisa wa usalama 120 kutoka Huduma ya Ulinzi ya Rais (PPS), kikosi kazi cha SAPS na vitengo vingine maalumu watarejea Afrika ...Rais Samia: Tutaongeza watendaji ili kutoa huduma bora kwa wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inahitaji watendaji kazi wengi zaidi ili kuwahudumia wananchi kutokana na idadi ya watu kuongezeka pamoja na ...