Siasa
Rais Samia: Tunawaunganisha wahitimu wa JKT na mradi wa kilimo wa BBT
Katika juhudi za kupunguza ukosefu wa ajira nchini Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ina lengo la kuratibu na kuunganisha shughuli zinazofanywa ...Picha za matukio ya maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT
Picha za matukio mbalimbali ya kilele cha maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) yanayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri ...Kenya: Jaji Mkuu Mstaafu apigwa mabomu akitaka waandamanaji waachiwe
Polisi nchini Kenya wamelazimika kupiga mabomu ya machozi kutawanya kundi la wanaharakati wa haki za binadamu akiwemo Jaji Mkuu Mstaafu, Willy Mutunga ...Balozi Karume afutwa uanachama CCM
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake, Balozi Ali Karume baada ya kutangaza kumuweka chini ...Tanzania na Malawi zasaini makubaliano ya ushirikiano katika mawasiliano
Tanzania na Malawi zimesaini hati za makubaliano (MoU) kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano inayogusa masuala ya mawasiliano na digitali yakihusisha mambo ...Rais Samia: Watanzania changamkieni fursa za ukuaji wa Kiswahili duniani
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa serikali imeweka mikakati ya kuhamasisha Watanzania wenye ueledi katika lugha ya Kiswahili kuchangamkia fursa zitokanazo ...