Siasa
Rais Samia kuwa Mgeni wa Heshima maadhimisho ya Uhuru wa Malawi
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Malawi kuanzia Julai 5 hadi Julai 7, 2023 kufuatia ...Rais Samia ashuhudia kusainiwa msaada wa TZS bilioni 455 kutoka EU
Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu ya msaada wa shilingi bilioni 455.09 kwa ajili ya utekelezaji wa programu ...Rais Samia aahidi kukuza zaidi ushiriki wa vijana kwenye kilimo
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwa sasa sekta ya kilimo ndio chanzo kikuu cha ajira kwa vijana hivyo Serikali imeandaa mazingira bora ...Rais Samia apongezwa kwa kukuza biashara na uwekezaji
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Dkt. Godwill Wanga amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha mazingira ya biashara ...