Siasa
Rais Ruto akataa pendekezo la kuongeza mshahara wake
Rais William Ruto ametupilia mbali pendekezo la hivi karibu lililotolewa na Tume ya Mishahara na Marupurupu (SRC) kuhusu kuongezewa mishahara kwa maafisa ...Waziri Mkuu: Tumemtoa TICTS tunamuweka DP World, hakuna geni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekanusha madai ya watu wanaodai kampuni DP World imepewa bandari bila kikomo na kueleza kuwa kampuni hiyo itapewa ...Waziri Mkuu: Hatuwezi kutoa umiliki wa bandari kwa kampuni yoyote
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ndiyo iliyopewa mamlaka na haki ya umiliki wa maeneo yote ya bandari ...Kada wa CCM, Balozi Karume awekwa chini ya uangalizi
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Ali Abeid Karume amewekwa chini ya uangalizi wa miezi mitatu na chama hicho kutokana na ...