Siasa
CHADEMA Igunga wampongeza Rais Samia kwa kutatua changamoto zao
Wananchi wa Kata ya Mwisi Wilayani Igunga mkoani Tabora, wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ...Mwanasheria Mkuu: Kuna upotoshaji mkubwa suala la bandari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amesema kuna upotoshaji mkubwa usio na tija katika mijadala inayoendelea kuhusu suala la uwekezaji ...Dkt. Mwigulu: Hakuna haja ya kuhofia tozo ya TZS 100 kwenye mafuta
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchema amewatoa hofu wananchi kuhusu tozo ya shilingi 100 kwenye kila lita 1 ya mafuta ...Rais Samia: Maboresho yanayoendelea bandarini yatazuia dawa za kulevya
Rais Samia Suluhu Hassan amesema maboresho yanayoendelea kufanyika katika bandari za nchini yatajumuisha ufungaji wa mitambo ya kisasa itakayosaidia kubaini shehena zinazopitishwa ...Rais Samia: Serikali yangu si ya maneno ni vitendo
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi ...Esther Matiko: Rais Samia ameendeleza miradi ya kimkakati kwa ufanisi mkubwa
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko amesema Rais Samia Suluhu ameweza kuendeleza kwa ufanisi mkubwa miradi ya kimkakati aliyoiacha Rais wa Awamu ...