Siasa
Dkt. Mpango: Wapangaji lipeni kodi kwa wakati kuepuka usumbufu
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wapangaji wanaotumia nyumba za Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuzingatia masharti ya mkataba ...Niger yakata uhusiano wa kidiplomasia na Nigeria, Ufaransa, Marekani na Togo
Serikali ya kijeshi nchini Niger imetangaza kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi nne ambazo ni Nigeria, Togo, Marekani na Ufaransa kutokana na ...Machinga, bodaboda wamwagia sifa uongozi wa Rais Samia
Shirikisho la vyama vya madereva wa pikipiki, bajaji na wamachinga wa Mkoa wa Dar es Salaam wameunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais ...Kinana: Wapinzani jengeni hoja na si kumkejeli Rais
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana amewashauri na kuwakumbusha wanasiasa wa upinzani kuheshimu fursa ya maridhiano ya kisiasa iliyotolewa ...Ruto atoa sharti kwa Odinga kabla ya mazungumzo
Rais wa Kenya, William Ruto amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na kiongozi wa Azimio, Raila Odinga, na yuko tayari kutoa ustahimilivu katika ...Wanajeshi wa Niger wampindua Rais Bazoum
Rais wa Niger, Mohamed Bazoum amepinduliwa na wanajeshi saa chache baada ya kuwekwa kizuizini na walinzi wake katika Ikulu ya nchi hiyo. ...