Siasa
Ndege ya Maafisa Usalama wa Rais Ramaphosa yanyimwa kibali kuelekea Urusi
Takribani maafisa wa usalama 120 kutoka Huduma ya Ulinzi ya Rais (PPS), kikosi kazi cha SAPS na vitengo vingine maalumu watarejea Afrika ...Rais Samia: Tutaongeza watendaji ili kutoa huduma bora kwa wananchi
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inahitaji watendaji kazi wengi zaidi ili kuwahudumia wananchi kutokana na idadi ya watu kuongezeka pamoja na ...Mwigulu: Tatizo la ajira nchini ni kubwa zaidi kwa vijana wa kike
Serikali imesema hali ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 35 nchini Tanzania imekuwa ikiongezeka kutoka asilimia ...Rais Samia atoa onyo kwa wezi wa vifaa miradi ya maendeleo
Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya baadhi ya Watanzania wasio waaminifu wanaoiba vifaa katika miradi mikubwa inayoendelea kutekelezwa nchini. Ameyasema hayo ...CHADEMA yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa madiwani
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitashiriki katika uchaguzi mdogo wa madiwani kwenye Kata 14 zilizopo katika Halmashauri 13 nchini ambazo ...Mapendekezo matatu ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, kuhusu muundo wa kampuni ya uendeshaji ...
Chama cha ACT- Wazalendo kimetoa mapendekezo kwa serikali kuhusu suala la mkataba wa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na Dubai juu ...