Siasa
Rais Samia asema usasa unawaharibu vijana
Kutokana na takwimu za Sensa iliyofanyika mwaka 2022 kuonesha kuwa idadi ya vijana ni kubwa zaidi nchini, Rais Samia Suluhu Hassan amewapa ...Bunge lapitisha marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari
Bunge la Tanzania leo limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari sura ya 229 ambapo kifungu cha ...Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – TAMISEMI (Miundombinu). Mhandisi Mativila alikuwa ...Sakata la kelele, Waziri Mkuu atoa maagizo kwa wakuu wa mikoa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa nchini kukaa na mabaraza ya biashara na wamiliki wa kumbi za starehe katika mikoa ...Mjema: Rais Samia aachwe afanye kazi alete maendeleo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema amewataka vijana kukilinda chama hicho pamoja na mwenyekiti wake, ...CAG Zanzibar aliomba radhi Baraza la Wawakilishi kwa kutoa kauli ya ‘kulibeza’
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Zanzibar, Dkt. Othman Ali ameliomba radhi Baraza la Wawakilishi Zanzibar kufuatia kauli yake aliyoitoa ...