Siasa
Balozi aliyewafananisha Waafrika na nyani arudishwa kwao
Romania imemrudisha nyumbani balozi wake kutoka nchini Kenya, Dragos Tigau na kuomba msamaha baada kuwalinganisha Waafrika na nyani. Balozi huyo alitoa maneno ...Rais Samia atengua uteuzi viongozi wa juu ofisi ya Kabidhi Wasii Mkuu
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Frank Kanyusi Frank kuwa Kabidhi Wasii Mkuu akichukua nafasi ya Angela Anatory ambaye uteuzi wake umetenguliwa. Kabla ...Spika Tulia awaonya wanaotumia mitandao kumvunjia heshima Rais
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amewakanya watu wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumvunjia heshima Rais Samia Suluhu Hassan na kuingilia mambo ...Faida 14 Tanzania inazotarajia kupata ikiingia mkataba wa uendelezaji wa bandari na DP World
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza faida ambazo Tanzania itanufaika baada ya bunge kupitisha azimio la mkataba baina ya Serikali ...Soma hapa azimio la Serikali lililowasilishwa bungeni kuhusu mkataba na DP World
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/10.06.2023-MAELEZO-YA-AWALI-YA-WAZIRI-WA-UJENZI-NA-UCHUKUZI-KUHUSU-AZIMIO-LA-BUNGE-KURIDHIA-MAKUBALIANO-YA-TANZANIA-NA-DUBAI.pdf” title=”10.06.2023 MAELEZO YA AWALI YA WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI KUHUSU AZIMIO LA BUNGE KURIDHIA MAKUBALIANO YA TANZANIA NA DUBAI”]Tamko la ACT-Wazalendo kuhusu suala la uendeshaji wa bandari kwa kushirikiana na sekta binafsi
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/06/Statement-Mkataba-wa-Bandari-4.pdf” title=”Statement-Mkataba wa Bandari (4)”]