Siasa
Dkt. Nchemba atuma salamu kwa watumishi wazembe na wala rushwa
Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hatowavumilia watumishi wa umma wavivu, wazembe, wala rushwa na wenye lugha mbaya kwa Watanzania. Ameyasema hayo ...Huyu ndiye Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu Mteule wa Tanzania
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya ...Polisi: Tunawasaka waliopanga na kuratibu uharibifu Oktoba 29
Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limesema linaendelea na msako mkali wa kuwatafuta wale wote ...IGP na wengine watano waitwa mahakamani kesi ya Heche
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) na maofisa wengine ...Mpina ataka uchaguzi usifanyike hadi mahakama itakapotoa uamuzi wa rufaa yake
Mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kusitisha uchaguzi wa nafasi ya Rais mpaka pale ...







