Siasa
Fei Toto amshukuru Rais Samia kujiunga rasmi Azam FC
Mchezaji mpya wa Azam FC, Feisal Salum (Fei Toto) amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha kuweza kuachana na timu yake ya ...Rais Samia amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI) na kuchukua nafasi ya Dkt. Respicious ...Dkt. Mollel: Rais Samia ametoa fedha nyingi kupambana na magonjwa yasiyoambukiza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeweka fedha nyingi katika mapambano dhidi ya magonjwa ...Rais Samia apongezwa kwa kukuza sekta ya michezo
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezao imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mstari wa mbele katika kuunga mkono michezo na kuwa ...Rais Samia awasihi Yanga kumaliza mzozo na Fei Toto
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa klabu ya Yanga kumaliza mvutabo wa kimkataba unaoendelea kati yao na mchezaji wa ...