Siasa
Waziri Mkuu: Tunazungumza na Denmark wasifunge ubalozi wao nchini
Serikali imesema kupitia Wizara ya Nje na viongozi wakuu, inafanya mazungumzo na nchi ya Denmark ili ofisi zao ziendelee kubaki nchini Tanzania ...Aweso: Rais Samia ameimarisha kwa kasi huduma ya maji mijini na vijijini
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, hali ya upatikanaji wa huduma ...Trump akutwa na hatia ya unyanyasaji wa kingono
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump amepatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa mwandishi wa jarida, E. Jean Carroll katika duka ...Waziri Bashe: Rais Samia ameipaisha Sekta ya Kilimo kimataifa
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema ni dhahiri kuwa chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu ...Stika za TRA kwenye vinywaji: Wabunge walalamikia kampuni ya SICPA
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu ‘Musukuma’ ameihoji Serikali juu ya kuendelea kuwepo kwa kampuni inayoendesha mradi wa Stempu za Kodi ...Maelekezo ya Rais Samia kwa Msajili wa Vyama vya Siasa
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha Baraza la Vyama vya Siasa ...